It’s Me Lyrics
It’s Me Song Lyrics
East nimewaletea feast
Na si try kufit in walinifind in mahn
Naskianga fiti nikiadisia ma meals
Mi family will never suffer nikibreath ah aaaah
Napata peace inna mi spliff
Na bado niko busy nasaka meat
Na go hard soft si kwa street
Born just to win
Na sitetemeki na sitishwii zii
Na tume aim on top tukidream high
Stress zinacheza lowkey
Mafala wote si huwapatia makofi tu
Cash tu ndio twapata na kuzidi paa juu
Na si mnajua niki come through
Ni short chini na u see mbati kiatu
Side ya right ni ma right men
Na kidosho side ya left wanna hate
Mbona? Mbona, mbona na sina noma
Na mi ni loner
Si ukubali tu chenye mi nafanya
Na sina ngori dadii kijana ni real
Sina msee wa kulingana na me, mmmh mmmh
Si walidhania ni short term
Nishaifanya long term na ni tam tam
Sa maganji ndio nasaka sam
Sa kutesa ndio natesa nikiwa na fam
Haikuwa easy na si bahati
Haikuwa juju na bado ilibidi wametii
Na siko sorry kwa whips nawapatia
Nafeel sorry kwa tips wanachukua za kutear
Na si ni me nilitry wakadaisha haiwezi
Nikabisha door wakadaisha nizidi
Si ni mi walicheki ka kipindi
Kajifanya kiziwi siskizi
It's me
Joo ni mimi neniie
Nilitoka ground wakateta
Nikapanda ladder wakanena na
Sa kwa street ni ka ninatesa
It's me
Ni mimi neniie
Nilitoka ground wakateta
Nikapanda ladder wakanena na
Sa kwa street ni ka ninatesa
It's me
Si niko same toka then
Nikijicheki ten kailia ten
Nashika bukita na pen
Na kwa lake nishazamisha net mpaka che
Tukisaka kichee
Baraka zilifika mapema tenee
Ma hater nao niliwaongezea chuki kiset
Ju wakihate nazidi kumanga mi cake mi say
Sure ni mbaya roho si unajua
Usinicheki out unijudge in
Na Jah ndio mwenye kipaji mi say
Narudia Jah ndio mwenye kipaji
Si niko lembe, no reverse gear
Front gear tukisonga my dear
It's true nilitokanga mkia na
Na nowadays si nikuwavutia jo
It's me
Ni mimi neniie
Nilitoka ground wakateta
Nikapanda ladder wakanena na
Sa kwa street ni ka ninatesa
It's me
Ni mimi neniie
Nilitoka ground wakateta
Nikapanda ladder wakanena na
Sa kwa street ni ka ninatesa
It's me
More from Vospa
Explore popular lyrics from this artist
Community Thoughts .
0 CommentsLeave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
No comments yet
Be the first to share your thoughts about these lyrics!