Mpepe Lyrics
Mpepe Song Lyrics
Huyeleee eeh
Yeah za man
Goood
Mkiniona jicho nyanya mi
Jicho kitunguu
Hakuna kingine
Zaidi ya maumivu tu
Kichwani
Ameacha kumbukumbu
Sijasikia la mkuu
Nimevunjika guu
Na kama kaniendea kwa mganga
Basi mganga wake anajua aah
Maana mi nakijua kizizi
Itakuwa kamix na dua aah
Sio rimbwata mapenzi tuu
Ameniacha mpenzi huu
Ningekuwa na uwezo wa vichenji uuh
Angetulia mpenzi uuh
Vururu varara
Amekwa pasua kichwa
Pakusukumwa
Mwenzangu amevuta
Mipombe sigara
Nawapenda mapusha
Ainyie
Mapenzi yameninyosha
Tiba yangu mpepe
Mninyongee mpepe
Ili nisimkumbuke nisimwaze
Wanangu nataka mpepe
Tiba yangu mpepe
Leo nataka niwake
Maana nikimkumbuka nawaza mbali
Mi bora nipate mpepe
Nikila mpepe mi jicho kanyanya
Kumbukumbu zinanichanganya
Kipindi ananichoka ndo nilianza kuzama
Ili nisimkumbuke nisimwaze
Masekeseke yakanichanganya
Nikisizi ndo naanza kuelewa
Kumbe nilikuwa naonewa
Nyie wenzangu mnafanyaje
Au ndo mapenzi yanafuata ngekewa
Au michezo ya hela
Nyie mwenzangu mnafanyaje
Mapenzi yanataka ghe
Sio rimbwata mapenzi tuu
Ameniacha mpenzi huu
Ningekuwa na uwezo wa vichenji uuh
Angetulia mpenzi uuh
Vururu varara
Amekwa pasua kichwa
Pakusukumwa
Mwenzangu amevuta
Mipombe sigara
Nawapenda mapusha
Ainyie
Mapenzi yameninyosha
Tiba yangu mpepe
Mninyongee mpepe
Ili nisimkumbuke nisimwaze
Wanangu nataka mpepe
Tiba yangu mpepe
Leo nataka niwake
Maana nikimkumbuka nawaza mbali
Mi bora nipate mpepe mwanenu
Tiba yangu mpepe
Mpepe
Mninyongee mpepe
Mpepe
Ili nisimkumbuke nisimwaze
Mpepe mwanenu
Tiba yangu mpepe
Leo nataka niwake
Nataka nizanduke
Maana nikimkumbuka nawaza mbali
Mi bora nipate mpepe
Mpepe mwanenu
Huyeleee aaaah
Monster
Mi nalilia mapenzi
Aaaah
Monster like monster
Community Thoughts .
0 CommentsLeave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
No comments yet
Be the first to share your thoughts about these lyrics!