Mtoto Lyrics
Mtoto Song Lyrics
(Cool boy)
(Weh)
(Sana)
(Sana)
Mara kwanza nilipokuona nilifall vibaya
Kabla nidunge niliuliza mwana
Eti wewe unagawa
Eti wewe ni malaya
Sikujali giza nakupenda sana
Sema kitu chochote mimi nitafanya
Siulize mwaya
Nakupenda sana
Twende tulizo la moyo
Sijifanye loyo
Sivifupa kibogoyo
Nipe mapenzi mamo
Usinifanye mchoyo
Twishikupendana mama
Ni mwanga tu moro
Nipo kwa mtoto nilikuwa na ndoto
Changamoto kibi na mtoto
Saa hivi na mtoto
Kibi na mtoto
Nipo kwa mtoto nilikuwa na ndoto
Changamoto kibi na mtoto
Kibi na mtoto
Saa hivi na mtoto
Baby usinipende sababu ya jina
Kama unanipenda nitunzie heshima
Mimi mwenzako nimezama ndani ya kina
Siuvunje moyo
Mimi hakima
Kama ni shina naikata mwenzako na sio balaa
Kama ni sia mwenzako ninazo na sio fana
I was in love
I never give up
Baby you are mine cause I give enough
Nimebeba vyote cause yangu ni vyako
Kama nimekosa baby nipe kichapo
Nipo kwa mtoto nilikuwa na ndoto
Changamoto kibi na mtoto
Saa hivi na mtoto
Kibi na mtoto
Nipo kwa mtoto nilikuwa na ndoto
Changamoto kibi na mtoto
Kibi na mtoto
Saa hivi na mtoto
Mara kwanza nilipokuona nilifall vibaya
Kabla nidunge niliuliza mwana
Eti wewe unagawa
Eti wewe ni malaya
Community Thoughts .
0 CommentsLeave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
No comments yet
Be the first to share your thoughts about these lyrics!