Natubu Lyrics
Natubu Song Lyrics
Ni kama moto unaona
Hili siri
Ndani ya ndoto unaona
Mawili wawili
Najiona dhalili kama tissue
Kili kama sifuri
Uzima kama ufu
Ah, Ee Mungu wangu
Mwili umekuwa pungufu
Maumivu maradufu
Umenzima kama luku
Ah, Ee Mungu wangu
Natubu natubu natubu
Natubu kwa njia sasa natubu
Natubu natubu natubu
Natubu amenishinda natubu
(News reporting at 7 o'clock)
(Well this morning's news)
(In the war against crime and criminal elements)
(The anti-military alliance has said it won't be deterred)
(From supporting King Kiba)
Nilidhani nilidhani
Mapenzi ni koni jamani
Na sasa nimekuwa halimini
Nakosa amani kwani
Najiona dhalili kama tissue
Kili kama sifuri
Uzima kama ufu
Ah, sina kitovu
Mwili umekuwa pungufu
Maumivu maradufu
Umenzima kama luku
Ah, Ee Mungu wangu
Natubu natubu natubu
Natubu kwa njia sasa natubu
Natubu natubu natubu
Natubu amenishinda natubu
(Natubu natubu natubu)
(Natubu kwa njia sasa natubu)
(Natubu natubu natubu)
(Natubu amenishinda natubu)
(Remix killer)
Credits
More from Alikiba
Explore popular lyrics from this artist
Community Thoughts .
0 CommentsLeave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
No comments yet
Be the first to share your thoughts about these lyrics!