Ni wewe Lyrics
Ni wewe Song Lyrics
Furaha ya mwanaume, palipo na Amani yake
Anawekeza pale palipo na heshima yake
Tofauti na moyo wake
Ata pin ya benki atakupa ah ah
Endapo unajiuliza nini, ninachokifuata kwake
Ata papa nalishwa ah!
Nalishwa vinono
Mtoto anachacharika, Kiuno ndombolo ya solo
Kwake mimi usemi sina
Kama vile ndondocha
Kama vile ndondocha!
Unapenda nikikuzagamua
Unapenda jinsi naku touchi
Baby ukinitazama
Pumzi zina kata kati kati
Unapenda nikikuzagamua
Unapenda jinsi naku touchi
Baby ukinitazama
Pumzi zina kata kati kati
Oh my love... Ni wewe, ni wewe - ni wewe eh!
Ni wewe, ni wewe - ni wewe eh!
Anayenisitiri mpenzi ni wewe!
Ni wewe, ni wewe - ni wewe eh!
Ni wewe, ni wewe - ni wewe eh!
Anayejua kuni jigi jigi mpenzi - wewe!
Anayejua kuni jigi jigi mpenzi - wewe!
Siwezi kuyaparamia
Usijeniumiza nikalia
Eti wanasema wewe
Una msiri wako
Kupenda ni kwa vitendo
Maneno hukosa maana
Elewa mi sipendi stress
Kutwa kucha kulombana
Unapenda nikikuzagamua
Unapenda jinsi naku touchi
Baby ukinitazama
Pumzi zina kata kati kati
Unapenda nikikuzagamua
Unapenda jinsi naku touchi
Baby ukinitazama
Pumzi zina kata kati kati
Oh my love... Ni wewe, ni wewe - ni wewe eh!
Ni wewe, ni wewe - ni wewe eh!
Anayenisitiri mpenzi ni wewe!
Ni wewe, ni wewe - ni wewe eh!
Ni wewe, ni wewe - ni wewe eh!
Anayejua kuni jigi jigi mpenzi - wewe!
Anayejua kuni jigi jigi mpenzi - wewe!
Credits
Contributors
Ni wewe Video
More from Otile Brown
Explore popular lyrics from this artist
Community Thoughts .
0 CommentsLeave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
No comments yet
Be the first to share your thoughts about these lyrics!