Oya Lyrics
Oya Song Lyrics
Ohoo!
Ohoo!
The African Princess
Eyoo Trone!
Shii!
Mwenzenu hata
Mi sina shaka
Hamna la kunikomoa
Wenzeni washa
Pambana sana
Walitaka kumng'oa
Mi sizwezi ngumi,
Ila ukimfuata nakua Tysonii
Naah!
Nasikia uvumi
Mi mtakatifu mtoto wa Sayuni
Eeeh!
Shii!
Kuna wengi wananilia mingo,
Sio wachache
Sio wachache
Na watakwambia kwamba mi niko single,
Hao wachapwe
Hao wachapwe
Oya oya
Mimi sio oya oya
Na sing'oleki kizembe
Oooh kizembe
Oya oya
Mimi sio oya oya
Na sing'oleki kizembe
Oooh kizembe
Na kama unamtaka ushamkosa,
Mwenzako namkosha
Nenda kwa aliyemposa
Mwenzako ushamkosa
Na kama unamtaka ushamkosa,
Mwenzako namkosha
Nenda kwa aliyemposa
Mwenzako kaniposa
Hata mkiwanga,
Vita ya mapanga
Simuachi ng'oooo!!
Aah!
Mimi nishamganda,
Niko nae sambamba
Mpaka muombe pooo!
Mmhh!
Mmeachia ngazi mchuma umeondoka huo
Mtajipa maradhi mtakufa na vijiba vya roho
Mmeachia ngazi mchuma umeondoka huo
Mtajipa maradhi mtakufa na vijiba vya roho
Mi sizwezi ngumi,
Ila ukimfuata nakua Tysonii
Naah!
Nasikia uvumi
Mi mtakatifu mtoto wa Sayuni
Eeeh!
Shii!
Kuna wengi wananilia mingo,
Sio wachache
Sio wachache
Na watakwambia kwamba mi niko single,
Hao wachapwe hao wachapwe
Hao wachapwe
Oya oya
Mimi sio oya oya
Na sing'oleki kizembe
Oooh kizembe
Oya oya
Mimi sio oya oya
Na sing'oleki kizembe
Oooh kizembe
Eyoo Trone!
A mix killer!
More from Nandy
Explore popular lyrics from this artist
Community Thoughts .
0 CommentsLeave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
No comments yet
Be the first to share your thoughts about these lyrics!