Siwezi Acoustic Lyrics
Siwezi Acoustic Song Lyrics
Aah aaah ahaaa
Aaaaaah
Aah aaah ahaaa
Mwenzako picha tu
Nikiziona na kwisha boo
Nasikitika tuu
Hivi penzi ndo liliisha boo
Maana nishalia nikanyamaza
Bado sichoki kukuwazaa
Sina wakuniliwazaa
Nimeshindwa kujikaza
Shamba nililiwachia
Wapita njiaa
Sasahivi wanalihudumia
Wamelilimia na kupalilia
Hadi mazao yamesha chipukia
Eeh
Tulivaa hadi sare sare
Couple ilikua kale kale
Yani marafiki wale wale
Leo wanakula pale pale
Siamini kwangu ulisepa
Huko unanenepa
Huna hata mawazo
Huku ndani ndani nateseka
Moyo umeuteka
Huu sio wimbo tangazo
Siweziii......
Mi siweziii......
Mi siweziiii......
Mi siweziii......
Siwezi
Siwezi
Siwezi
Siweziiii......
Credits
More from Rayvanny
Explore popular lyrics from this artist
Community Thoughts .
0 CommentsLeave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
No comments yet
Be the first to share your thoughts about these lyrics!