Tangazo Lyrics
Tangazo Song Lyrics
Yaweyah!
Konde boy pass me the weed am about to say some real shiet Nigga
Bomboclat!!!
Staki tena pombe
Staki tena pombe
Mtu gani nsione siri nikilewa naropokwa
Ama pombe mnayonipa mimi kuna kwengine inapotoka
Hangover
Ilinichapa jana nkatamani kuokoka
Wallah nkinywa tena nsifike ata mbinguni karoho kakinitoka
Kubwa zima wa kushikwa mkono
Pombe mwenzake ngono
Nikidondoka nalala pono, pombe!
Eti kubwa zima wa kushikwa mkono
Pombe mwenzake ngono
Na nikidondoka nalala pono, pombe!
Tangazo.... Tangazo!
Staki tena pombe
Oya mi mtu wa soda juice kunoga
Staki tena pombe
No no!, I don't wanna drink no more
Staki tena pombe
Na kama unanipenda kweli usinipe pombe
Staki tena pombe
Aloo!
Nikiwa Sober najua kwamba alinikosea
Nikila tungi nasahau namlilia
Nikiwa Sober najua kwamba alinionea
Ila nikiwa kutungi ndio siwezi kumchunia
Anatumia weakness zangu ndio maana napenda mi nilewe
Anajua kabisa vitu vikipanda vinashuka chini
Anatumia weakness zangu ndio maana nataka mi nilewe
Anajua kabisa kwamba zikipanda sijiwezi mimi
Tangazo.... Tangazo!
Staki tena pombe
Ukinikuta nakunywa nakupa million
Staki tena pombe
Tangazo.... Tangazo!
Staki tena pombe
Kwa akili zangu timamu nasema
Staki tena pombe
Credits
More from Marioo
Explore popular lyrics from this artist
Community Thoughts .
0 CommentsLeave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
No comments yet
Be the first to share your thoughts about these lyrics!