Kwa neema Lyrics
Kwa neema Song Lyrics
Yeeeh, Mmh
Moyoni nina mengi yote siwezi sema mmh
Walivonisaliti mgongo visu wakanichoma
Asiyekuwa na shukurani, halijui jema
Hata ukampa sayari, bado atasema
Zingatia misingi, Mimi siishi maisha kama mchezo wa kamari
Na Usinione mjinga kisa mkimya
Nalinda yangu amani
Na mwezi nilieka chini ni mangapi mmejaribu na bado nipo ngangari
Na nayajua maisha siezi fulia pengine mniondoe duniani
Na pale ambapo sijaalikwa, hutoniona
Haya maisha yangu simpo mengi yameniokoa
Na najiamini hata kama sina, nina heshima
Atawaniumize mara ngapi, Mi roho yangu bado ya karima
Nikianguka, nitainuka
Nitapaa kama ndege, Siogopi kuanza upya
Bado najitafuta, siku nitajipata
Huku hustle hazikomi, kama ni zamu yako shinda kwa neema
Nikianguka, nitainuka
Nitapaa kama ndege, Siogopi kuanza upya
Bado najitafuta, siku nitajipata
Huku hustle hazikomi kama ni zamu yako shinda kwa neema
(Mh, Chibi, set mic for Clara)
Aah mtu anayeishi bila Mungu ndie alopitwa na wakati
Dunia imepagawa na inapendwa , thatβs a crazy part
Mambo yanatokea (Yeah), life is like that
Una maumivu juu, chini na hata hapo Katikati
I'm sweat like hell
Sijiskii Ile freedom ni kama niko jail
Chuki zinategwa lakini mission zinafail
Hisia hazidanganyi na macho ya watu you can tell
Ah watakuvua hii throne
Watabiri wangapi walisema Darasa is gone
Wanakuja na maoni, they call me on ma phone
Wana act kama washikaji na wana vitu moyoni
Kama kupanda mlima, mkono mmoja umefungwa nyuma Unakwenda unajitahidi upepo unakusukuma go huruma
[?]
Sema ndo wanakutana na bendera chuma CMG for life motherfu...
(Otile Brown singing, Otile Brown singing)
Na pale ambapo sijaalikwa, hutoniona
Haya maisha yangu simple mengi yameniokoa
Na najiamini hata kama sina, nina heshima
Atawaniumize mara ngapi, Mi roho yangu bado ya karima
Nikianguka, nitainuka
Nitapaa kama ndege, Siogopi kuanza upya
Bado najitafuta, siku nitajipata
Huku hustle hazikomi kama ni zamu yako shinda kwa neema
Nikianguka, nitainuka
Nitapaa kama ndege, Siogopi kuanza upya
Bado najitafuta, siku nitajipata
Huku hustle hazikomi kama ni zamu yako shinda kwa neema
Credits
More from Otile Brown
Explore popular lyrics from this artist
Community Thoughts .
0 CommentsLeave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
No comments yet
Be the first to share your thoughts about these lyrics!