Safe Lyrics
Safe Song Lyrics
(Hii inarecord)
(Safe)
Miss you everyday, miss you everyday
I miss you everyday
Maneno haziwezi explain, Mama I miss you everyday
Sikupata chance ya kukujua, hukupata chance ya kuniraise
Deep down I'm sadder, I've been through so much pain
Nilianza kujitegemea at a very young age
Amka Mama uone vile tumejituma
I hate mlikosana na mzae na sisi ndio tunalipa
Si eti nawajudge, but mi mapenzi ilinishinda
But surely tulikuwa miaka ngapi ukitwaachanisha?
Ooh barua itawafikia, I wish naweza wajulia hali
Time ya kuwa mzazi ikinifikia, tupange venye tutawaambia
Najua kuna vitu me hufanya haziwabambi
Lakini wacha kijana wenu ang'ang'ane
I'm an orphan, I fucking hate it man
Hii ni ka kuishi na ukedi man
Kukuona tena ni maybe man
Hii ndio trauma ilifanya nianze kuseti man
There's no way ilikuwa ni will ya God
Mwenye ananipenda venye niko, ako?
Mbona inaniuma venye naenda nikigrow
Msensitive juu kuna venye niko na mwiba kwa roho
Tuko sawa ukifika mbinguni, naomba kuwaona mara ya mwisho
Mjue nawatambua mahali mko
Msiworry hata kidogo kutuhusu
Kuaibika nayo Jah hawezi ruhusu
Tuko kwa mikono safe, tuko kwa mikono safe
Tunachungwa night and day, mzae anajibu tukipray
Msiworry hata kidogo kutuhusu
Kuaibika nayo Jah hawezi ruhusu
Mzae joh naonaga ni kama naishi ndoto mbaya
After umeziang ndio nilijua ukweli watu hulalaga njaa
Nakumbuka nikitamani kufukuzwa shule na wengine
Ingekuwa tunachagua wazazi hakuna mwingine ningeprefer
Venye ulikuwa funny, venye ulikuwa strict
Single dad, nothing separated you from your kids
Bila wewe 25th haifeel ka Krisi
Haina haja nijifanye moyo wangu bado unableed
After hii maybe sitakuwa nalia nikiwakumbuka
But siwezi promise haitakuwa inaniuma
Labda najidanganya kusema ntaheal na muda
Kuna siku hii machozi itacome kukauka
After all we have been through ndio hao sisi hapa
Chia anafanya Masters, I'm the best rapper
Jah ashajiprove hatawahi tuwacha
Ashajiprove hatawahi tuwacha
ABH Sounds baby
Credits
More from Kapitani
Explore popular lyrics from this artist
Community Thoughts .
0 CommentsLeave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
No comments yet
Be the first to share your thoughts about these lyrics!