Shing Lyrics
Shing Song Lyrics
(Zii, Zii)
Yeah
Hena record kweli
(We Global Music)
Yeah yeah
Cheki
Yeah, kwetu kukucheza masamba kuna get dark, G
Fimtu tatu round hizo ni joke za Charlie Chaplin
Trust me, tunajiuliza mtafika saa ngapi
Mko roro akienda party anatuletea pino inabaki
Wewe unabakisha, sjui unadeal na magiriba
Huwezi tu-be mjanja na hutupi ujinga
Tunakutokea niko unapeana mafuta na unga ngano
Fanya na wewe kishana kama amekuja kwa mpirra
Like that
Just like that
Nabonga gili tuwe my people like that
Mi nimesweat ya fee everything I got
Tuliza pupa mufinywe kabla mkae makao
Hujaeni maji bin
Hujaeni maji bin
Nani alikushow utauza bangi huku hivi
Ni utoe za shake mama vijana watakushing
Humu ni humu ndio hakuna mrahisi huku hivi
Hujaeni maji bin
Hujaeni maji bin
Nani alikushow utauza bangi huku hivi
Ni utoe za shake mama vijana watakushing
Humu ni humu ndio hakuna mrahisi huku hivi
Ze giza ni advantage na jua chomokea
Nko njae magiz nika na safain so mia
Chomo ni ndogo noki ingia unatoshea
Kesho kesho mchana utashukwa yenye wanaroria
Nje yake solo kikitui inapotea
Biggie si yangu kusota na hofu ya mahopia
Ni unwind down na tunacost ni umonia
Rangi atakuotea lakini chochote nitakuotea
Ni vijana wa 1960
Tulikuwa kwanza hadi kwa mpili
No si ni movie active kama isili
Jeshi kama akamba na nikiwa solo sikimbi
Si maparanki kushow iko kwa kichwa
Pa ria pa ria za maingwa hatunadisika
Si ntazi hatukorri kama jana hujatajirika
Kiku nyolika
Nabadilika
Hujaeni maji bin
Hujaeni maji bin
Nani alikushow utauza bangi huku hivi
Ni utoe za shake mama vijana watakushing
Humu ni humu ndio hakuna mrahisi huku hivi
Yeah
Siwezi tutry ka kiatu mupya
Ama boy wako hunenge niunga tunasukuma
Una namba nkidunga tunakuja kuwadunga
Mrazi ka freak kiko venye tunampura
Kitu ingine hapana cheza na hesabu
Ju unaweza pigwa cheki niko unapandishwa mariamu
Ata ningekuwa shiti sina masaa kuchekesha watu
Wewe ni kanyethe tafuta mahali utauziwa nyaru
Mwangwa kama
Yangu nipakie mugifi
Ni ndogo na mangwako na maseanda na mali
Lyrics mraze apate big ting
Kweli labda sleeper sasa njoo tokea na G
Hujaeni maji bin
Hujaeni maji bin
Nani alikushow utauza bangi huku hivi
Ni utoe za shake mama vijana watakushing
Humu ni humu ndio hakuna mrahisi huku hivi
Hujaeni maji bin
Hujaeni maji bin
Nani alikushow utauza bangi huku hivi
Ni utoe za shake mama vijana watakushing
Humu ni humu ndio hakuna mrahisi huku hivi
Credits
More from Kapitani
Explore popular lyrics from this artist
Community Thoughts .
0 CommentsLeave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
No comments yet
Be the first to share your thoughts about these lyrics!