Story za Bongo Lyrics
Story za Bongo Song Lyrics
Story za Bongo, nasoma gazeti.
Story za Bongo, umepamba suka.
Story za Bongo, kumekucha.
Kichwa cha habari Mwijaku, babalevo gazeti inafanya nacheka.
Story za Bongo, hata tunilisome gazeti, japo limeanza na vibweka.
Story za Bongo, kilichovuja connection, Mangi chakwapu ameshaweka.
Story za Bongo, majonzi kwa wanangu, wakubeti, Arsenal wamemchana mkeka.
Story za Bongo, imevuja Snapchat, imesambaa WhatsApp, Telegram kila group.
Story za Bongo, kuna bata, kuna shisha na watoto mwambie Dijali bileo tunakesha huku.
Story za Bongo, umepamba suka.
Story za Bongo, nasoma gazeti.
Story za Bongo, kumekucha.
(Story za Bongo, umepamba suka).
(Story za Bongo, nasoma gazeti).
(Story za Bongo, kumekucha).
Huyu si alikuwa na date, na yule wametengana.
Wanachamba na ubaya, kusema naetuo ameachana.
Oya oya, oya oya, orasawakati umendikwa, kesho Simba na yanga kinaumana.
Ugu kuna mwana, amevumaniwa amizi, sitaki kujua wachomfanya.
Nabi tunayemwamini, ana huzunisha aliyoyafanya.
Nasoma king'ang'a, olewa acha kuchezewa, kawa mtu wa mana.
Arobainia fisa mheshimiwa, kawekwa ndani amicheze asisti.
Amepinwa, amekamiwa, maana hadi video tunazo kwenye simu.
Story za Bongo, umepamba suka.
Story za Bongo, nasoma gazeti.
Story za Bongo, kumekucha.
(Story za Bongo, umepamba suka).
(Story za Bongo, nasoma gazeti).
(Story za Bongo, kumekucha).
Story za Bongo, umepamba suka.
Story za Bongo, nasoma gazeti.
Story za Bongo, kumekucha.
Oya oya, oya oya, oya oya.
Credits
More from Ibraah
Explore popular lyrics from this artist
Community Thoughts .
0 CommentsLeave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
No comments yet
Be the first to share your thoughts about these lyrics!