Mtu Mzima Lyrics
Mtu Mzima Song Lyrics
Ruruuu ruruuuuuh
(Yes, it's Marioo baby)
Aiyaaah yaaiyah
Kama nia yako ulitaka mimi nilie
Unganiacha January
Huu ni mwezi wa kumi
Kama ni mechi finally
Kwa akili yako ulitaka niumie
Mwenzako hata sijali
Ahh
Unaleta ukatuni
Sicheki huchekeshi unaboa
Na toka umesema unaondoka
Mbona kama unachelewa
Nna biashara zangu zakufanya muda huu
Naona ka nachelewa
Mi mtu mzima
Siwezi kulia hayo mambo nishavuka
Siwezi kutia huruma kwenye mapenzi
Hapa bandika bandua
Mi mtu mzima
Siwezi kulia hayo mambo nishavuka
Siwezi kutia huruma kwenye mapenzi
Hapa bandika bandua
Ah bandika
Bandua aaah
Bandika
Bandua aaah
(Aaiih yeeeh yeeeh)
Na kama uliniona mi mjinga
Leo ndo utajua kwamba we ndo mkubwa bwege
Na kama uliniona mi fala
Ndo utajua kwamba we bonge la fala
Walisikika wahenga
Ukisema cha nini
(Eeeeh)
Wenzako watakipata lini
Sina hata presha mimi
Na toka umesema unaondoka
Mbona ka unachelewa
Nna biashara zangu zakufanya muda huu
Naona ka nachelewa
Mi mtu mzima
Siwezi kulia hayo mambo nishavuka
(Siwezi kutia)
Siwezi kutia huruma kwenye mapenzi
Hapa bandika bandua
Mi mtu mzima
Siwezi kulia hayo mambo nishavuka
Siwezi kutia huruma kwenye mapenzi
Hapa bandika bandua
Bandika
Bandua aaah
Bandika
Bandua aaah
Sisi hivi hivi bandua aaah
Bandika
Mudy Kilosa bandua aaah
Nani huyu
Oya mwanangu
Mimi na we si tulishatengana mwanangu sasa mbona unakuja kuja kunirudiludia hapa unalia lia nini
Unataka mimi nilie mimi ni ambulance mimi ni mtu mzima mama mimi ni mtu mkuu wewe nini sasa mama
Imeishaga hiyo si uliniachaga si ulinitumiaga meseji yako ukaniambia imeisha mama ndo hivi sasa Mungu si Abdallah ni full stop
Credits
More from Marioo
Explore popular lyrics from this artist
Community Thoughts .
0 CommentsLeave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
No comments yet
Be the first to share your thoughts about these lyrics!