Nakshi Nakshi Lyrics
Nakshi Nakshi Song Lyrics
Aahh
(Feel it, make it)
Aahh
Wakikuona tu zinawakata pumzi
Suruali zipu zinawashuka kidume miruzi
Wakikuona machonzi unawauzi
Kwa uzuri mama aliyokupa wanadhani mashauzi
Umejaliwa rangi yake surubuni
Natural si magendo magendo
Umejaliwa warunado ufundi
Usiku watulani linatetema jengo
Una utamu sukari chai mayai mayai
Mwanga wa Dubai Dubai Mumbai Mumbai
Na iko kishefu ai ai kama yai
Nayo madegeje unawatesi wanakoma wewe
Umejaliwa nakshi nakshi
Umejaliwa nakshi
Umejaliwa nakshi nakshi yote umepewa wewe
Umejaliwa nakshi nakshi
Umejaliwa nakshi
Umejaliwa nakshi nakshi jina ukapomwenyewe
Ah walisema eti sikufai wakazusha na borojo
Eti kwa penzi gani la masilahi vurukushani na zogo
Leo towasalimu wasomwe hai
Wamezondoka vichogo pole pia
(Gody bay)
Huyo wa sasa kafiti yendo saizi yangu
Saizi yangu saizi
Yendo cherehani au nachona na kudarizi
Kalogwe moshi marangu umalize mizizi
Unjana viungo mwenzangu ukia na vihisi
Una utamu sukari chai mayai mayai
Mwanga wa Dubai Dubai Mumbai Mumbai
Na iko kishefu ai ai kama yai
Nayo madegeje unawatesi wanakoma wewe
Umejaliwa nakshi nakshi
Umejaliwa nakshi
Umejaliwa nakshi nakshi yote umepewa wewe
Umejaliwa nakshi nakshi
Umejaliwa nakshi
Umejaliwa nakshi nakshi jina ukapomwenyewe
(You better know this is my feelings)
(Captain Clive)
Credits
More from Lava Lava
Explore popular lyrics from this artist
Community Thoughts .
0 CommentsLeave a Reply
Your email address will not be published. Required fields are marked *
No comments yet
Be the first to share your thoughts about these lyrics!